Big up Mtu baki ulie geuka ndugu..
Adui Kua rafiki kazi ya mungu..
peke yangu siwezi mambo magumu..
Nimekosa washauli nalipuka na ndumu..
Naji tuma juudi zina nifanya na ishi..
Na wanyang'anyi walio nifanya mtumishi..
Yani wao ma boss me kibaraka..
Na sogea jah kaachilia baraka..
wana nitilia shaka.. sijabaki walipo niacha
wakati wao kukosa imani nyakati za mashaka..
Big up Mtu baki ulie geuka ndugu.. Adui Kua rafiki kazi ya mungu.. peke yangu siwezi mambo magumu.. Nimekosa washauli nalipuka na ndumu.. Naji tuma juudi zina nifanya na ishi.. Na wanyang'anyi walio nifanya mtumishi.. Yani wao ma boss me kibaraka.. Na sogea jah kaachilia baraka.. wana nitilia shaka.. sijabaki walipo niacha wakati wao kukosa imani nyakati za mashaka..
0 Комментарии ·0 Поделились ·87 Просмотры