simlaumu mungu baba, kwa kuumba umasikini..
Na katu sikati tamaa, labda nifukiwe chini..
Mengi maswali najiuliza, nitafanikiwa lini..
Mbele kwangu naona kiza, sijui tatizo nini..
Hiki kwangu kitendawili, nataka tegua..
Kamwe sitokaa nichill, mpaka ntakapotusua..
Umasikini unaniumiza, jah ona yangu njia..
Naamini unaweza, taa kunimulikia..

0 Reacties
·0 aandelen
·62 Views