Upgrade to Pro

Mafanikio sio lelemama..
Jitoe sadaka ili uweze kusimama..
Usiwe mtu wa kulalama..
Acha lawama mungu kakupa kalama..
Wewe ni helo sio zero pambana inawezekana..
Kwenye tatizo ndio kunamafanikio..
Suruhisho kwako furusa na msaada kwa wenzio..
Jichangechange tu upate kianzio..
Jichanganye kwenye watu kisha tega sikio..
Sikiliza mawazo ya wenzako..
Story zitakuonesha mwanzo..
Pata ushauri kwa watu walio karibu yako..
Wakupe maoni chanya yawe ni nguzo kwako..
Sio wote wataokuelewa..
Wapo wataokupuuza kaza bado ujachelewa..
Wakikufukuza muda unawapotezea..
Waombee maisha malefu waje kujionea.
Mafanikio sio lelemama.. Jitoe sadaka ili uweze kusimama.. Usiwe mtu wa kulalama.. Acha lawama mungu kakupa kalama.. Wewe ni helo sio zero pambana inawezekana.. Kwenye tatizo ndio kunamafanikio.. Suruhisho kwako furusa na msaada kwa wenzio.. Jichangechange tu upate kianzio.. Jichanganye kwenye watu kisha tega sikio.. Sikiliza mawazo ya wenzako.. Story zitakuonesha mwanzo.. Pata ushauri kwa watu walio karibu yako.. Wakupe maoni chanya yawe ni nguzo kwako.. Sio wote wataokuelewa.. Wapo wataokupuuza kaza bado ujachelewa.. Wakikufukuza muda unawapotezea.. Waombee maisha malefu waje kujionea.
·87 Ansichten