Bundi hana rafiki.. Zaidi ya bundi wenzake..
Hata anapo fariki.. Ndege hufurahia kifo chake..
Kiukweli hana bahati.. Na hawezi kubahatika..
Sio kwamba hataki.. Tatizo hubabaika..
Walo feli harakati.. Ndo hupenda kubadirika..
Weka sawa mikakati.. Okoa kizazi cha gharika..
Huwezi jiita msafi.. Ikiwa hujui bei ya sabuni..
Nisawa kujiita mkali.. Ikiwa bado hujui kubuni..

0 Kommentare
·0 Anteile
·177 Ansichten