Baba mwanao mtaa umenchukia
na sina pengine pakukmbilia
nakuja kwako naiman maombi yangu utayapokea
nmekuja kwa njia ya upole cjaja kukufokea
japo najua kuna meng nmekukosea
ila baba uwez mfundisha mwanao kusame ikiwa we utak kusamea
Baba mwanao mtaa umenchukia na sina pengine pakukmbilia nakuja kwako naiman maombi yangu utayapokea nmekuja kwa njia ya upole cjaja kukufokea japo najua kuna meng nmekukosea ila baba uwez mfundisha mwanao kusame ikiwa we utak kusamea
0 Reacties ·0 aandelen ·81 Views