Kila nikikaa nayawaza maisha.. Japo hali sir God atanivusha..
Kilicho tukuza mapema ni haya haya majukumu..
Peace kwa kila anaye jituma point tatu ni muhimu..
Wanao teseka na mapenzi washenzi wa fikra..
Wazee wa matanuzi ni upuuzi hawaja balehe kifikra..
Kila nikikaa nayawaza maisha.. Japo hali sir God atanivusha.. Kilicho tukuza mapema ni haya haya majukumu.. Peace kwa kila anaye jituma point tatu ni muhimu.. Wanao teseka na mapenzi washenzi wa fikra.. Wazee wa matanuzi ni upuuzi hawaja balehe kifikra..
0 Commentaires ·0 Parts ·170 Vue