Wengi katika sisi muda tutaujutIA
Kwani kupewa pumzi ni fursa ya kutubIA
Jitambue ndugu vua hulka ya kupuuzIA
Tenda mema uepuke dhoruba ya kuangamiA
Kesho ni fumbo hufumbui mwenye kipaji thabiTI
Sali hadi waseme unachezea bible ya bi** tiTI
Wengi katika sisi muda tutaujutIA Kwani kupewa pumzi ni fursa ya kutubIA Jitambue ndugu vua hulka ya kupuuzIA Tenda mema uepuke dhoruba ya kuangamiA Kesho ni fumbo hufumbui mwenye kipaji thabiTI Sali hadi waseme unachezea bible ya bi** tiTI
0 التعليقات ·0 المشاركات ·66 مشاهدة