Kwenye nia hapakosi njIA unaposali mungu anasikIA
Mtafutaji ongeza gIA japo maumivu utasikIA
Maneno utashika mkIA hata unaemwamini anakimbIA
Matatizo tumeumbiwa machozi yako mungu anafidIA
Mola najua unasikIA wanao tulipo tunaumIA
Dhiki tumezichoka pIA hatutaki kuishi kama mkIA
Kuna muda tunapotEA riziki utafutaji tunakosEA
Mungu tafadhali tokEA wapi ulipo sogEA
Kwenye nia hapakosi njIA unaposali mungu anasikIA Mtafutaji ongeza gIA japo maumivu utasikIA Maneno utashika mkIA hata unaemwamini anakimbIA Matatizo tumeumbiwa machozi yako mungu anafidIA Mola najua unasikIA wanao tulipo tunaumIA Dhiki tumezichoka pIA hatutaki kuishi kama mkIA Kuna muda tunapotEA riziki utafutaji tunakosEA Mungu tafadhali tokEA wapi ulipo sogEA
0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·82 Views