Unaweza kuona mbali.. Na uko mbali usifike..
Hi hop shule kweli.. Kwenye ukweli uelimike..
Una maana kwenye maana.. uwez kuwa wa maana..
fake mcz kwangu mm huna maana..
Unataka kushindana ata macho auoni..
Unajisifu namba moja kwa ushindi wa ndotoni..
Unaweza kuona mbali.. Na uko mbali usifike.. Hi hop shule kweli.. Kwenye ukweli uelimike.. Una maana kwenye maana.. uwez kuwa wa maana.. fake mcz kwangu mm huna maana.. Unataka kushindana ata macho auoni.. Unajisifu namba moja kwa ushindi wa ndotoni..
0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·82 Views