Tunatumia.. sio kwamba ni muhimu kutumia.. Hapna! kwasababu tunaona tu nasisi tunaiitaji kuitumia..
Thamani ya maandishi,, utegemea na ufahamu wa anayeyasoma... Ila thamani ya Fumbo.. itabaki kuwa funguo ya Ufahamu wa jambo..
Acha tujifunze na kulinda Aibu ya Ujinga.. japo jamii uelewa ukiwa Tajiri, ni Nguo tosha yakuvaa Akili na Hekima.
Ukatili kwao ndio ujasili na Uluma juu Yao Bado watakuita muoga, acha kuchagua njia ipi ikufanye kuwa Bora kwao.. Wewe fanya kinachostaili ila Usiyawinde Sana Mafao..

·324 Views