Hawakunitenga.. ila wengi niliwaacha..
Wengine hunijenga.. tukiwa sambamba kama mapacha..
Walionitenda walinipenga haukuwa msada..
Wapo waliotamani njia ingeziba ili nikose rada..
Bado nasafiri.. kwa mashaka..
Kila atua najipa ujasiri.. japo naambiwa siwezi fika..
Hawakunitenga.. ila wengi niliwaacha.. Wengine hunijenga.. tukiwa sambamba kama mapacha.. Walionitenda walinipenga haukuwa msada.. Wapo waliotamani njia ingeziba ili nikose rada.. Bado nasafiri.. kwa mashaka.. Kila atua najipa ujasiri.. japo naambiwa siwezi fika..
0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·68 Views