Ridhika na ulicho nacho,,utapata unachotafta!!
Komaa usikodoe macho,,dawa ya kikohoz cofta!!
Mzigo wako,mwenyewe,,hakuna wa kukubea!!
Ulacho,peke yako wewe,,usijali wakizomea!!
Uendako,usichelewe,,chochote kujiokotea!!
Usicheze rafu ukipiga pafu,,utaumiza kifua!!
Kila moja na mzigo wake,,tembo hashindwi na pembe!!
Kila nyumba na ubora wake,,hata ikiwa nyumba ya tembe!!
Redio imenyimwa mdomo,,lakini habari inatupasha!!
Jiulize kwanini victoria,,ni ziwa ila mtoto hanyonyi!!
Ridhika na ulicho nacho,,utapata unachotafta!! Komaa usikodoe macho,,dawa ya kikohoz cofta!! Mzigo wako,mwenyewe,,hakuna wa kukubea!! Ulacho,peke yako wewe,,usijali wakizomea!! Uendako,usichelewe,,chochote kujiokotea!! Usicheze rafu ukipiga pafu,,utaumiza kifua!! Kila moja na mzigo wake,,tembo hashindwi na pembe!! Kila nyumba na ubora wake,,hata ikiwa nyumba ya tembe!! Redio imenyimwa mdomo,,lakini habari inatupasha!! Jiulize kwanini victoria,,ni ziwa ila mtoto hanyonyi!!
0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·316 Views