Naona nina laana....najiona cna maana!!
Natanga kama ndege......naangaika ucku mchana!!
Nakata tamaa......sometimes najikaza!!
Sielewi kimaisha .....npo zero ka kiraza!!
Cna nyota ...why mimi!!
Mungu wangu hiki nin....sio kwamba na lalamika mbona nakuomba mimi!!
Nakaa kiuzuni....kama ua kwenye meza!!
Mfukoni cna pochi ....wanasema napendeza!!
Nawaza hela .....nawaza familia!!
Bado ninawaza mengi....mpka ndoto najiotea!!
Life yangu kama bet.....kiukwel aieleweki!!
Mungu ukinipa uhai ....nipe pia maisha safi!!
Japo dunia tunapita....Nami nipite kuzuri!!
Baliki kira atua .......nipate maisha mazuri!!
Naona nina laana....najiona cna maana!! Natanga kama ndege......naangaika ucku mchana!! Nakata tamaa......sometimes najikaza!! Sielewi kimaisha .....npo zero ka kiraza!! Cna nyota ...why mimi!! Mungu wangu hiki nin....sio kwamba na lalamika mbona nakuomba mimi!! Nakaa kiuzuni....kama ua kwenye meza!! Mfukoni cna pochi ....wanasema napendeza!! Nawaza hela .....nawaza familia!! Bado ninawaza mengi....mpka ndoto najiotea!! Life yangu kama bet.....kiukwel aieleweki!! Mungu ukinipa uhai ....nipe pia maisha safi!! Japo dunia tunapita....Nami nipite kuzuri!! Baliki kira atua .......nipate maisha mazuri!!
0 Commenti ·0 condivisioni ·157 Views