miaka hii iliyopo na ijayo rafiki na ndugu wa kweli anabakia kuwa marehemu peke yake asiyeweza kukupa,kukunyima,kukusema,kukuua na mengine mengi ambayo kwa sasa watu wote wapo tayari kukufanyia sio baba wala mama wazazi japo heshima yao haishuki wala hutoishusha mpaka urogwe/ulewe pombe au madawa.

0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·156 Visualizações