Mi navunja kibubu cha mistari, we unavunjika moyo!!
Wanasema ben kimichano singati, wananiitA kibogoyo!!
I believe kwenye hip hop, naamini one day yes!!
Eti sisomeki KWA map, lakini kwangu sio kesi!!
Mi ni tajiri wa mistari, lakini sio pundamilia!!
Naunguza ka sigara kali, kama vipodozi na kemikali!!
Niite nyuki kwenye rap, tungo zangu ndo asali!!
Mi navunja kibubu cha mistari, we unavunjika moyo!! Wanasema ben kimichano singati, wananiitA kibogoyo!! I believe kwenye hip hop, naamini one day yes!! Eti sisomeki KWA map, lakini kwangu sio kesi!! Mi ni tajiri wa mistari, lakini sio pundamilia!! Naunguza ka sigara kali, kama vipodozi na kemikali!! Niite nyuki kwenye rap, tungo zangu ndo asali!!
0 Comments ·0 Shares ·167 Views