Nimepitia vingi vigingi/
Kwenye mnvua jua nabalidi/
Kidume kwenye haso nikajitaidi/
Nusura ata kopeza uhai/
Asubui mchana nasaka kama ndege tai/
Majukumu ndio yaliyo nipa ujasili/
Sasa basi naitaji mtaji nijiajili/
Ingawa bado sio tajiri/
Nauvaa ujasilia mali/
Nimepitia vingi vigingi/ Kwenye mnvua jua nabalidi/ Kidume kwenye haso nikajitaidi/ Nusura ata kopeza uhai/ Asubui mchana nasaka kama ndege tai/ Majukumu ndio yaliyo nipa ujasili/ Sasa basi naitaji mtaji nijiajili/ Ingawa bado sio tajiri/ Nauvaa ujasilia mali/
0 Commentarii ·0 Distribuiri ·73 Views