Lala ukiombaa.. Usiku huwa ni mbali..
Asa ukilala njaa.. Macho huwa juu ya dalii..
Usiku sio pw.. Kuna mengi yana tisha..
Ata ukiwa.. Mwalimu usiku utafundishwa..
Lala ukiombaa.. Usiku huwa ni mbali.. Asa ukilala njaa.. Macho huwa juu ya dalii.. Usiku sio pw.. Kuna mengi yana tisha.. Ata ukiwa.. Mwalimu usiku utafundishwa..
0 Commentarios ·0 Acciones ·76 Views