Niko full sio dagaa!!
Nakomaa kusaka chapaa!!
Wengi wanashangaa!!
Kwa jinsi navyochakaa!!
Nakimbia kwa masaa!!
Na sichoki kumuomba jah!!
Hata mwanga ukizima taa!!
Ananibless tu babaa!!
Kwa nyingi salaa!!
Sina stress haswa!!
Nikiwa base na bar!!
Niko full sio dagaa!! Nakomaa kusaka chapaa!! Wengi wanashangaa!! Kwa jinsi navyochakaa!! Nakimbia kwa masaa!! Na sichoki kumuomba jah!! Hata mwanga ukizima taa!! Ananibless tu babaa!! Kwa nyingi salaa!! Sina stress haswa!! Nikiwa base na bar!!
0 Комментарии ·0 Поделились ·93 Просмотры