Naona mapicha na kauli zisizo nyepesi!!
Tupo wengi Wengine ni wafuasi!!
Bado sijakata lingi Tamaa sikati na bado sijawa pimbi!!
Ukijishusha sivimbi Kamali ni hapa hapa zichange simbi!!
Naona mapicha na kauli zisizo nyepesi!! Tupo wengi Wengine ni wafuasi!! Bado sijakata lingi Tamaa sikati na bado sijawa pimbi!! Ukijishusha sivimbi Kamali ni hapa hapa zichange simbi!!
Like
1
· 1 Commenti ·0 condivisioni ·65 Views