Upgrade to Pro

Huwa nacheza na akili.. Kama mchezo wa kubeti..
Kwenye dundo nanesa hivi.. Kama mlevi wa kuberi..
Nipe kipaza.. Unae taka midondoko..
Ili, niwape somo vilaza.. Wanao taka miondoko..
Nipe dili.. Ukitaka kuni wish..
Usiwe muuza siri.. Kama unataka kuni snich..
Hiphop chakula ya mtaa.. Namie ndo mpishi..
Fundi najenga nyumba kishujaa.. Nanyie ndo msingi..
Vitendo dhidi ya maneno.. Nawatongoza mpaka mabubu..
Mc nasambaza mapendo.. Masnich wana tubu..
Huwa nacheza na akili.. Kama mchezo wa kubeti.. Kwenye dundo nanesa hivi.. Kama mlevi wa kuberi.. Nipe kipaza.. Unae taka midondoko.. Ili, niwape somo vilaza.. Wanao taka miondoko.. Nipe dili.. Ukitaka kuni wish.. Usiwe muuza siri.. Kama unataka kuni snich.. Hiphop chakula ya mtaa.. Namie ndo mpishi.. Fundi najenga nyumba kishujaa.. Nanyie ndo msingi.. Vitendo dhidi ya maneno.. Nawatongoza mpaka mabubu.. Mc nasambaza mapendo.. Masnich wana tubu..
Like
1
1 Comments ·614 Views