Niseme kweli yule Dada mchizi ALIMPENDA..::

Toka moyoni kwa dhati bila KUMTENDA..::

Alifanya vyote hadi kwao ALIKWENDA..::

Yanauma kweli aliyofanyiwa moyoni haku PENDA..::

vyote kupoteza hakujali kwenye mapenzi hakuJAJI..::

Lakini mapenzi kwake ilikuwa kama AJALI..::

Baada ya ndoa vituko masimango hakupata AFADHALI..::

Sijui zaidi tunguli ama alifanyiwa kipi Zipo DALILI..::

Nahisi ilikuwa juju Alifanywa kama kuku basi dish ni ZUKU..::

mwisho alishindwa maumivu uvumilivu shingoni aliweka DUKU..::

Mapenzi sumu ukithubutu unahitaji TIBA..::
Niseme kweli yule Dada mchizi ALIMPENDA..:: Toka moyoni kwa dhati bila KUMTENDA..:: Alifanya vyote hadi kwao ALIKWENDA..:: Yanauma kweli aliyofanyiwa moyoni haku PENDA..:: vyote kupoteza hakujali kwenye mapenzi hakuJAJI..:: Lakini mapenzi kwake ilikuwa kama AJALI..:: Baada ya ndoa vituko masimango hakupata AFADHALI..:: Sijui zaidi tunguli ama alifanyiwa kipi Zipo DALILI..:: Nahisi ilikuwa juju Alifanywa kama kuku basi dish ni ZUKU..:: mwisho alishindwa maumivu uvumilivu shingoni aliweka DUKU..:: Mapenzi sumu ukithubutu unahitaji TIBA..::
Like
1
· 1 Комментарии ·0 Поделились ·109 Просмотры