Upgrade to Pro

Hivi unakumbuka wapi tulipoanZIA,,ilikuwa shule nilipokufata ulinikaZIA..::

Kwa dharau ulinifyonza ukapuuZIA,,nyodo nyingi kalio ukantingiSHIA..::

Ilinichoma nami kina nilizama meLI,,sikuwaza kufeli kusema kwaheLI..::

Mkubwa hachoki nikajifariji nikiamiNI,,kwenye ukame ntakuwa maji utanithamiNI..::

Ikabidi nijitose mchizi kwako bila iRiZI,,mwisho ulisogea penzI ukaliweka waZI..::

Ndoto zako ulisema kuwa nami MAISHANI,,ukiwa nami kalibu unaipata AMANI..::

Nilijituma kweli kama roboti upate utakacho,,nikasimama kama ngongoti uende utakapo..::

Mwenzangu ukuzingatia yote nayokupatia,,mapenzi kamba ukanikatia doa ukaniachia..::

nashukuru kwa yote uliyonifanyia,,ipo siku mungu atanilipia..::
Hivi unakumbuka wapi tulipoanZIA,,ilikuwa shule nilipokufata ulinikaZIA..:: Kwa dharau ulinifyonza ukapuuZIA,,nyodo nyingi kalio ukantingiSHIA..:: Ilinichoma nami kina nilizama meLI,,sikuwaza kufeli kusema kwaheLI..:: Mkubwa hachoki nikajifariji nikiamiNI,,kwenye ukame ntakuwa maji utanithamiNI..:: Ikabidi nijitose mchizi kwako bila iRiZI,,mwisho ulisogea penzI ukaliweka waZI..:: Ndoto zako ulisema kuwa nami MAISHANI,,ukiwa nami kalibu unaipata AMANI..:: Nilijituma kweli kama roboti upate utakacho,,nikasimama kama ngongoti uende utakapo..:: Mwenzangu ukuzingatia yote nayokupatia,,mapenzi kamba ukanikatia doa ukaniachia..:: nashukuru kwa yote uliyonifanyia,,ipo siku mungu atanilipia..::
Like
1
1 Yorumlar ·177 Views