Wanashangaa kama tone la mvua lidondokalo jangwANI
Wanaidanganya jamii kama nabii wa uwongo wakisimama kanisANI
Mimi ni yule mmoja kati ya wale wa maana naitukuza amANI.