Maisha fumbo limen'lemea kufumbua..
Imenikaba koo hadi nimeshindwa kupumua..
Cha kufanya nitoke nimeshindwa kutambua..
Kweli ni kitendawili nimpe nani kutegua..
Si jana leo kesho nashindwa itakuwaje..
Nimfate nani kwamba sikutoka na mke wa mtu nimweleze ntaanzaje..
Nina mengi makubwa ya kutatua..
Mzigo wangu nzito nani atauchukua...