Kwa hali na mali nitajitoa/
Natumia grili kila kikwazo kutoboa/
Maisha yemekaza mtaani kugumu sio poa/
Mahali kubwa ndo maana vijana hatutaki ndoa/

0 Commentarios
·0 Acciones
·232 Views