sina mchongo-- na dili za maana sipati mpka nahisi labda nina mikosi
kuokota makopo kusafisha kw matajir ndo kazi/
ila nilidondokea kichapo wakidai eti me mwizi/
kuna muda nashinda dampo wananiita chizi/
nina hisia za kumpenda recho lakini sina hadhi/
sinyoi nywele nazomewa na watoto-- wananiita mr vuzi
sina mchongo-- na dili za maana sipati mpka nahisi labda nina mikosi👇 kuokota makopo kusafisha kw matajir ndo kazi/ ila nilidondokea kichapo wakidai eti me mwizi/ kuna muda nashinda dampo wananiita chizi/ nina hisia za kumpenda recho lakini sina hadhi/ sinyoi nywele nazomewa na watoto-- wananiita mr vuzi👆
0 التعليقات ·0 المشاركات ·59 مشاهدة