Stor inayovuma kitaa,
Ni unyoya kuhamia UWABATA,
Maana sionekani tena kwa mama Muuza,
Wala kwenye vilinge ya bata,
Pesa yangu kuipata ni utata,
Labda kama umenikopa,
Ndo naweza kufikiria kukulipa,
Sio kutumia pesa kwa anasa,
kuhonga wakina latifa,
Unyoya nimeshabadilika,
Sitoi popote hata mia,
Hata kwenye daladala,
Konda akisema hana chenchi,
Safar yangu namalizia,
Nibora nikashuke mwisho,
Nirudi kwa mguu mdogo mdogo,
Kuliko kumuachia mshiko
Wakat hiyo ndo bajet ya kesho,
Pesa yangu hailali kwa mtu,
Nitakufwata hata usiku,
Uje unipe kilicho changu,
Uwabata ndo chama langu,
Na mimi ndo wanachama muadilifu,
Nafwata vyote vifungu,
Cheza na kila kitu sio pesa yangu,
Ubahili ndo dira yangu,
Viva UWABATA,
Viva chama la Wana,
Ni unyoya kuhamia UWABATA,
Maana sionekani tena kwa mama Muuza,
Wala kwenye vilinge ya bata,
Pesa yangu kuipata ni utata,
Labda kama umenikopa,
Ndo naweza kufikiria kukulipa,
Sio kutumia pesa kwa anasa,
kuhonga wakina latifa,
Unyoya nimeshabadilika,
Sitoi popote hata mia,
Hata kwenye daladala,
Konda akisema hana chenchi,
Safar yangu namalizia,
Nibora nikashuke mwisho,
Nirudi kwa mguu mdogo mdogo,
Kuliko kumuachia mshiko
Wakat hiyo ndo bajet ya kesho,
Pesa yangu hailali kwa mtu,
Nitakufwata hata usiku,
Uje unipe kilicho changu,
Uwabata ndo chama langu,
Na mimi ndo wanachama muadilifu,
Nafwata vyote vifungu,
Cheza na kila kitu sio pesa yangu,
Ubahili ndo dira yangu,
Viva UWABATA,
Viva chama la Wana,
Stor inayovuma kitaa,
Ni unyoya kuhamia UWABATA,
Maana sionekani tena kwa mama Muuza,
Wala kwenye vilinge ya bata,
Pesa yangu kuipata ni utata,
Labda kama umenikopa,
Ndo naweza kufikiria kukulipa,
Sio kutumia pesa kwa anasa,
kuhonga wakina latifa,
Unyoya nimeshabadilika,
Sitoi popote hata mia,
Hata kwenye daladala,
Konda akisema hana chenchi,
Safar yangu namalizia,
Nibora nikashuke mwisho,
Nirudi kwa mguu mdogo mdogo,
Kuliko kumuachia mshiko
Wakat hiyo ndo bajet ya kesho,
Pesa yangu hailali kwa mtu,
Nitakufwata hata usiku,
Uje unipe kilicho changu,
Uwabata ndo chama langu,
Na mimi ndo wanachama muadilifu,
Nafwata vyote vifungu,
Cheza na kila kitu sio pesa yangu,
Ubahili ndo dira yangu,
Viva UWABATA,
Viva chama la Wana,
0 Комментарии
·0 Поделились
·70 Просмотры