Tangu enzi babu ajawa babu!!
nipo tangu bakhlesa sio bosi anapata tabu!!
Misingi imara ata nyumba ikitanda nyufa!!
ndo maana sivimbi kifara napo kumbuka kuna kufa!!
Niko tayali kuitwa boya wafa maji wapone!!
na imarisha ndoa wadangaji wakome!!
Ukiwa mbali nione mm ni version huru!!
tuition huku watoto chai uhakakika nipo sukari guru!!
Tangu enzi babu ajawa babu!! nipo tangu bakhlesa sio bosi anapata tabu!! Misingi imara ata nyumba ikitanda nyufa!! ndo maana sivimbi kifara napo kumbuka kuna kufa!! Niko tayali kuitwa boya wafa maji wapone!! na imarisha ndoa wadangaji wakome!! Ukiwa mbali nione mm ni version huru!! tuition huku watoto chai uhakakika nipo sukari guru!!
Like
1
· 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·293 Views