Alikua mcheshi mpole mwenye matani ila hakuna alie zani..
Alikua mjeshi kambini msoma ramani Leo kama utani..
Namtua gun begani ila vyeo vitabaki gwandani..
Huna baya mbele Yako nyuma yetu daima tutakukumbuka..
Maombi kwa mola nayasuka Peponi daima uweze shuka..
We ndo mzaa mama Wamtei Nizzo chema daima ntakukumbuka..
#rest_in_peace_bibi
Alikua mcheshi mpole mwenye matani ila hakuna alie zani.. Alikua mjeshi kambini msoma ramani Leo kama utani.. Namtua gun begani ila vyeo vitabaki gwandani.. Huna baya mbele Yako nyuma yetu daima tutakukumbuka.. Maombi kwa mola nayasuka Peponi daima uweze shuka.. We ndo mzaa mama Wamtei Nizzo chema daima ntakukumbuka.. #rest_in_peace_bibi
0 Commentarios ·0 Acciones ·127 Views