Eee mungu tazama mateso yangu..
Tazama na ndoto zangu..
Ni ufukara umeshika familia yangu..
Naleta maombi yangu..
Baba uliye juu fungua milango yangu..
Bariki kazi za mikono yangu..
Na huu mwaka uwe wa faraja kwangu..
Najua wewe baba ndo nuru yangu..
Unayemiliki funguo ya maisha yangu..
Nataman nibadili mwenendo wangu..
Naleta kwako dua zangu..
Bariki kipato changu..
Mke na watoto wangu..
Ibada iwe ndo nguzo yangu..
Mwaka 2025 uwe mwaka wa furaha kwangu..
Niweze timiza ahad nilizo waahid wazazi wangu..
Eee baba Mungu nilinde na adui zangu..
Wasizijue njia zangu..
Ila wape maisha marefu washuhudie baraka zangu..
Mwisho na kushukuru Mungu wangu..
Kwa zawad ya uhai uliyotupatia mimi na familia yangu..
Ndugu jamaa na rafiki zangu..
2025 uwe ni mwaka wangu..
Mwanzo wa mafanikio yangu..
Amin
Eee mungu tazama mateso yangu.. Tazama na ndoto zangu.. Ni ufukara umeshika familia yangu.. Naleta maombi yangu.. Baba uliye juu fungua milango yangu.. Bariki kazi za mikono yangu.. Na huu mwaka uwe wa faraja kwangu.. Najua wewe baba ndo nuru yangu.. Unayemiliki funguo ya maisha yangu.. Nataman nibadili mwenendo wangu.. Naleta kwako dua zangu.. Bariki kipato changu.. Mke na watoto wangu.. Ibada iwe ndo nguzo yangu.. Mwaka 2025 uwe mwaka wa furaha kwangu.. Niweze timiza ahad nilizo waahid wazazi wangu.. Eee baba Mungu nilinde na adui zangu.. Wasizijue njia zangu.. Ila wape maisha marefu washuhudie baraka zangu.. Mwisho na kushukuru Mungu wangu.. Kwa zawad ya uhai uliyotupatia mimi na familia yangu.. Ndugu jamaa na rafiki zangu.. 2025 uwe ni mwaka wangu.. Mwanzo wa mafanikio yangu.. Amin
Like
1
· 1 Comments ·0 Shares ·86 Views