Ulinitosa wakati nanyata tope..
ukajua nitakosa kupata kwa muda wote..
manyanyaso moyo uvumilia vingi..
kipofu nikapapasa nishike japo shilingi..
nikafanya kazi ili **** ushibe..
pengo lako liko wazi kila siku nilizibe..
juu ya matatizo ukanishindia mawazo..
mapenzi ya maigizo uliigiza toka mwanzo..
ukalipenda giza kisa linakusitiri..
furaa pia uumiza uliza upate tafsiri..
ukatukana umeme ukajiona uko sawa..
kisa ukikata unawasha solar power..
nikajikuta mzigo tena mzigo kweli kweli..
ukanipa vocha ya tigo huku nna line ya airtel..
nilikuwa mdogo udogo wa kirikuu..
wazee walikula adi sehemu ya kijukuu..
Masikini kama mimi nikajiona mpumbavu..
napenda sehemu ambayo imeandikwa 'no love'..
`
Kama umeipenda unaweza ukaichukuwa ....ruksa sina matumizi nayo
Ulinitosa wakati nanyata tope.. ukajua nitakosa kupata kwa muda wote.. manyanyaso moyo uvumilia vingi.. kipofu nikapapasa nishike japo shilingi.. nikafanya kazi ili **** ushibe.. pengo lako liko wazi kila siku nilizibe.. juu ya matatizo ukanishindia mawazo.. mapenzi ya maigizo uliigiza toka mwanzo.. ukalipenda giza kisa linakusitiri.. furaa pia uumiza uliza upate tafsiri.. ukatukana umeme ukajiona uko sawa.. kisa ukikata unawasha solar power.. nikajikuta mzigo tena mzigo kweli kweli.. ukanipa vocha ya tigo huku nna line ya airtel.. nilikuwa mdogo udogo wa kirikuu.. wazee walikula adi sehemu ya kijukuu.. Masikini kama mimi nikajiona mpumbavu.. napenda sehemu ambayo imeandikwa 'no love'.. ` Kama umeipenda unaweza ukaichukuwa ....ruksa sina matumizi nayo
Like
Love
2
· 0 Комментарии ·0 Поделились ·298 Просмотры