Sawa we nenda Nakuatakia baraka..
Uendako uwe na baraka.. wala usiwe na mashaka..
Najua ahadi zangu Ndio zilikuumiza..
Hali yangu ya kimaisha pia ilikuliza..
Leo unandoka Auachi ata ndala..
Niachie ata picha Usiku niweze lala..
Ntamic harufu yako.. Mafuta yako..
Ntamic hadi macho pia napenz lako..
Usione siumii.. ila ndio bac..
Najikaza kishababi.. Kama cna wac wac..
Mpk nyau piaa atakukumbuka..
Kwa yako mapishi Naona jikoni pata umbuka..
Ntamic cheko lako.. Furaha yangu ipo kwako..
Sawa we nenda Nakuatakia baraka.. Uendako uwe na baraka.. wala usiwe na mashaka.. Najua ahadi zangu Ndio zilikuumiza.. Hali yangu ya kimaisha pia ilikuliza.. Leo unandoka Auachi ata ndala.. Niachie ata picha Usiku niweze lala.. Ntamic harufu yako.. Mafuta yako.. Ntamic hadi macho pia napenz lako.. Usione siumii.. ila ndio bac.. Najikaza kishababi.. Kama cna wac wac.. Mpk nyau piaa atakukumbuka.. Kwa yako mapishi Naona jikoni pata umbuka.. Ntamic cheko lako.. Furaha yangu ipo kwako..
Like
1
· 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·153 Visualizações