Sasa nimekuwa ngwiji.. siku hizi ninapaa..
Huu ulidhi wa bibi.. So siwez kuzubaa..
Nimekuwa atari.. Nawanga had mchana..
Nawatesa majilani.. wanaumwa wiki mzima..
Naona raha.. Natembea niko uchi..
Ningekuwa na simu ninge piga ata selfi..
Uchawi umenoga.. Na loga hadi wakubwa..
Nawao wanakimbia Nimekuwa babu kubwa..
Nachunga misukule.. nawafanya kama ng'ombe..
Naloga hadi kanisa ata waumini waombe..
Nasababisha ajali.. Natoa hadi kafara..
Shetani afulahi.. Kwangu azidi kuchachawa..
Naloga hadi waganga.. mwamposa amesanda..
Naloga hadi wanyama.. Siachi kuku wala kanga..
Usiku napaa Kama npo kwenye ndege..
Japo aina mziki Nasafili kimawenge..
Nilimloga ex wangu kalio likaisha..
Nikawa na mcheka ni nini atatingisha..
Sasa nimekuwa ngwiji.. siku hizi ninapaa.. Huu ulidhi wa bibi.. So siwez kuzubaa.. Nimekuwa atari.. Nawanga had mchana.. Nawatesa majilani.. wanaumwa wiki mzima.. Naona raha.. Natembea niko uchi.. Ningekuwa na simu ninge piga ata selfi.. Uchawi umenoga.. Na loga hadi wakubwa.. Nawao wanakimbia Nimekuwa babu kubwa.. Nachunga misukule.. nawafanya kama ng'ombe.. Naloga hadi kanisa ata waumini waombe.. Nasababisha ajali.. Natoa hadi kafara.. Shetani afulahi.. Kwangu azidi kuchachawa.. Naloga hadi waganga.. mwamposa amesanda.. Naloga hadi wanyama.. Siachi kuku wala kanga.. Usiku napaa Kama npo kwenye ndege.. Japo aina mziki Nasafili kimawenge.. Nilimloga ex wangu kalio likaisha.. Nikawa na mcheka ni nini atatingisha..
Like
1
· 0 Комментарии ·0 Поделились ·100 Просмотры