Unaye mdai ana hela.. Lakini auamini..
Wewe mwenyewe una njaa.. Ujui utakufa lini..
Shida ipo ndani.... Kchwa kimejaa mawazo..
Watoto wanalia njaa mke amelazwa wazo..
Unalia chinichini.. Ujui utafanya nini..
Ndugu uliowaamini.. Wamekuchinjaa baharini..
Rafiki zako wafaida.. Una waona hasara..
Wako bar wanalewa ....kwenye shida awana hela..
Mwenye nyumba ana kuona.. Kukudai anaogopa..
Akiona shida zako yeye mwenyewe anachoka..
Cyo kwamba ana shida.. Na yeye anasomesha..
Ila kwako zimezidi kama vumbi kwenye taka..
unabaki unalia machozi yanakutoka..
Huo ndio ukubwa ndevu kama ukoka..
Unaye mdai ana hela.. Lakini auamini.. Wewe mwenyewe una njaa.. Ujui utakufa lini.. Shida ipo ndani.... Kchwa kimejaa mawazo.. Watoto wanalia njaa mke amelazwa wazo.. Unalia chinichini.. Ujui utafanya nini.. Ndugu uliowaamini.. Wamekuchinjaa baharini.. Rafiki zako wafaida.. Una waona hasara.. Wako bar wanalewa ....kwenye shida awana hela.. Mwenye nyumba ana kuona.. Kukudai anaogopa.. Akiona shida zako yeye mwenyewe anachoka.. Cyo kwamba ana shida.. Na yeye anasomesha.. Ila kwako zimezidi kama vumbi kwenye taka.. unabaki unalia machozi yanakutoka.. Huo ndio ukubwa ndevu kama ukoka..
Like
1
· 0 Reacties ·0 aandelen ·67 Views