Unafanya nisote Jamani.../
skupendi..maana unafanya nikose Amani/
Umekuja lini..? kwangu skumbuki../!
na kama ungekua...binadamu ninge kushuti/
Sio siri hata Raha umenikata.../
nime kukimbia bushi...mpaka Dom umenifata/
umeniganda...sina mishe hakika../
Lengo lako ni lipi..? au unataka nife kabisa/?
umenipa mikosi...umenipa balaa.../
umeninyima pesa...pia umezika na Raha/
Shida..sio kwamba nakutenga.../
Duniani.. hakuna anae kupenda/
sio mimi tu!.. unatesa taifa langu../
Urafki wako..hakuna faida kwangu/
Aah!!..nakupa sera nielewe../
bila hatia maskini, wanatupwa jera kisa wewe/!!
Vers..2
unachukiwa...mpaka na shehe Flan../
skufichi... huna tofauti na Shetani/
Najua... hutaki nifike kwa kua../
una bifu namimi...hutaki nipige hatua/
niendelee au niachie HapO.?