Nilikua chaka la wagoni.. ibada ya nini...
Shaka ipo mfukoni jehuri tembea na mimi...
Umbea na kuzini.. vipaji vyangu mimi...
Kuombewa kwa nini si mgonjwa tajiri mimi...
Kukicha vioja.. nimelala baa...
Dem zaidi ya mmoja pesa nachafua balaa...
Waganga walikuwa best.. kutengeneza mali...
Ndugu zangu R.I.P kwa mali nibaki rijari...
Nishaonywa sana.. kwa visa na mikasa...
Leo sina chakufanya kila dampo najitosa...
#funzo
Nilikua chaka la wagoni.. ibada ya nini... Shaka ipo mfukoni jehuri tembea na mimi... Umbea na kuzini.. vipaji vyangu mimi... Kuombewa kwa nini si mgonjwa tajiri mimi... Kukicha vioja.. nimelala baa... Dem zaidi ya mmoja pesa nachafua balaa... Waganga walikuwa best.. kutengeneza mali... Ndugu zangu R.I.P kwa mali nibaki rijari... Nishaonywa sana.. kwa visa na mikasa... Leo sina chakufanya kila dampo najitosa... #funzo
Like
1
· 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·65 Views