FREESTYLE
Ukitaka kumjua rapa kimeo,,, halafu anatokea bongo...
Utaskia Leo ni Leo,,, asenaye kexho mwongo...
Et hip hop ya Leo,,, wanaivutia jani na kuinywea gongo...
Huku vitu simple tu,,, unachukua beat unapita nayo...
Hapo ni michano kuntu,,, sio unaxhika beat halaf unapiga mihayo...
Kama nimekugusa,,, hayo achana nayo...
Mara hip hop mafumbo,,,
Wanafata mkumbo,,,
Kabla ya kujaza mistari jaza kwanza tumbo...
FREESTYLE Ukitaka kumjua rapa kimeo,,, halafu anatokea bongo... Utaskia Leo ni Leo,,, asenaye kexho mwongo... Et hip hop ya Leo,,, wanaivutia jani na kuinywea gongo... Huku vitu simple tu,,, unachukua beat unapita nayo... Hapo ni michano kuntu,,, sio unaxhika beat halaf unapiga mihayo... Kama nimekugusa,,, hayo achana nayo... Mara hip hop mafumbo,,, Wanafata mkumbo,,, Kabla ya kujaza mistari jaza kwanza tumbo...
Like
1
· 0 Комментарии ·0 Поделились ·364 Просмотры