Kwanini nifumbe macho ingali mi niko hai..
Kwanini nifunge mdomo ikiwa mi sija dai...
Kisa promo au ahadi ya donge nono...
Music sio lazima niwe kama mcheza pono...
Maono yangu nawasilisha kwa michano...
Mikono yangu daily inaandika masomo...
Kinifaacho changu chakuazima kistili...
Stili misaada mingi inakuwa dili...