Kutana na mchizi bingwa, tozz ambaye sina hata pisi kali...
sitaki demu si hawapendi mlenda afu chips ghari...
ni wajanja daily wanalenga thamani...
nami ndo sihongi hata mia, bora nitunze huenda nikajenga mwakani...
ukiniomba dow ntaona una-talk sheet...
msibani tu penyewe huwa sichangi mpaka washani-block street...
na mtoto sizai sitaki nilipe shule...
nishajiunga CHAPUTA, collabo labda hiyo pisi inipe bure...
Kutana na mchizi bingwa, tozz ambaye sina hata pisi kali... sitaki demu si hawapendi mlenda afu chips ghari... ni wajanja daily wanalenga thamani... nami ndo sihongi hata mia, bora nitunze huenda nikajenga mwakani... ukiniomba dow ntaona una-talk sheet... msibani tu penyewe huwa sichangi mpaka washani-block street... na mtoto sizai sitaki nilipe shule... nishajiunga CHAPUTA, collabo labda hiyo pisi inipe bure...
Like
Love
Haha
6
· 0 Reacties ·0 aandelen ·97 Views