Natumia mda Huu... kuwakumbusha Msali...

Nilitumia mda Ule.... kwa bebe na Pisi Kali..

Huu Ndo mda Ambao.... muhun Napiga.... Goti...ll

Nilitumia Muda mwingi.... Kutafta ustaa..Babu..

Nikakosa Vya Msingi.. Nikakosa Adi Ustaa..Rabu..

Nikawa Mtu Wa Tungi... kushi na Matap.... Tapu..

Skujal Mda Dingi.... any Time Narap... Rapu...

Mda Huo Wakanipa sifa... wakashindwa Kunipa... Ajira...

Na walijua Fika... bwege Nadhalilisha.... Hadhira...

Sifa Imenijengea Chuki.... manyanyaso... na Masimango...

Mda wao wanapiga Hatua... mm Nilipigania.... Warembo....

Leo Hii Napiga Dua.... na Machiz Tukipigania.... Makombo...

Piga swaga.. Mraka... Utaskia Nipe Mda...
Natumia mda Huu... kuwakumbusha Msali... Nilitumia mda Ule.... kwa bebe na Pisi Kali.. Huu Ndo mda Ambao.... muhun Napiga.... Goti...ll Nilitumia Muda mwingi.... Kutafta ustaa..Babu.. Nikakosa Vya Msingi.. Nikakosa Adi Ustaa..Rabu.. Nikawa Mtu Wa Tungi... kushi na Matap.... Tapu.. Skujal Mda Dingi.... any Time Narap... Rapu... Mda Huo Wakanipa sifa... wakashindwa Kunipa... Ajira... Na walijua Fika... bwege Nadhalilisha.... Hadhira... Sifa Imenijengea Chuki.... manyanyaso... na Masimango... Mda wao wanapiga Hatua... mm Nilipigania.... Warembo.... Leo Hii Napiga Dua.... na Machiz Tukipigania.... Makombo... Piga swaga.. Mraka... Utaskia Nipe Mda...
Like
Love
2
· 0 التعليقات ·0 المشاركات ·206 مشاهدة