Pesa ni tusi sasa makasisi twafa Njaa..
Pumba bila lipumba Siasa mzimu wa Sanaa..
Adimu kwa Muumba, kuumba kwetu Mabalaa..
Mizimu inachanga unga, umba kwetu Mabalaa..
Sanaa za ndotoni.. walolala ndo wasanii..
Mzinzi waza peponi, ukiweza ni follow Me..
Giza tanda, kipofu sioni Kipya.
Hakuna lishe bila Wanga, Japo Pastor anapinga..

·127 Views