kidogo tuchanane.. ila tusiboane..
kwenye maisha tusukumane..
tusitengane.. kwa pamoja tushirikiane..
msijali kidogo tutajuana..
god bless siku tukikutana..
salam kwa mikono tukipeana..
itakuwa good day tutakumbatiana..
tupendane furaha tukionyeshana..
kidogo tuchanane.. ila tusiboane.. kwenye maisha tusukumane.. tusitengane.. kwa pamoja tushirikiane.. msijali kidogo tutajuana.. god bless siku tukikutana.. salam kwa mikono tukipeana.. itakuwa good day tutakumbatiana.. tupendane furaha tukionyeshana..
Like
3
· 0 Commenti ·0 condivisioni ·232 Views