Niamini katika mimi..
ukigundua m ni paper utataka kuandika nini..
au utazuga sifai na utataka kuandika chini..
Ukweli upi ukufae usipinge..
kwa vipimo vyao acha nijae nimwagike..
UkiWA tayari utaijua hii misingi..
ndyo we mkali je unatambua kama sipingi..
haya madini yanauzwa huwa sipimi..
bora ndogo yenye maana sio kubwa yenye laana..
kesho tutaelewana tu hata kwa luga ya jana..
hi ni hip hop kuiacha naitazama..
kwakuwa haina mwendo natangulia itanikuta kwenye vina..
wambie wakipima urefu wakumbuke na mapana..
Huku barabara n ndefu wakumbushe shida kupishana..
wazo hili picha za katuni... maana itafute..
Ili ukuze maarifa kisha kijana maarifa yakukuze..
naifanya ngumu ili nibaki nakusudi la kudumu..
na ukinielewa kwa mbali huna budi ku ni zoom..