Upgrade to Pro

Sikati tamaa kijinga..
Hata nikiwa fresh sina itikadi za kuringa..
Niko cool siyo player kama dirunga..
Time will tell sijutii hapa nilipo..
Ndomana yaliumbwa Maputo..
Hip hop kwangu ni wito..
Naifanya bila mchecheto..
Nasambaza ujuzi mpaka nchi za mbali..
Sijaanza ku be paid bado napambana na safari..
Info za kukata tamaa longtime nime mute..
I wanna do more than commando mpaka haters watapo salute..
Harakati kama nyerere.. nitakumbukwa Milele..
Tofauti sana na mcz wako wanaojigamba..
Mi ni mpole sana ila ukinchokoza nakuwa na sumu zaidi nyongo ya mamba..
Yeah siyo shabiki wa siasa Mimi..
Sihusiki na chuki za kidini mimi..
Niko huru dhidi ya uhasama..
Sina pande niliyo egemea kati kati nimesimama..
Then na look forward..
Nawish kufanya yangu..
I gotta heavy duty..
Kiasi sitaki u feel my pain hommie..
Usione nacheza kibindankoi..
Ukadhani life liko powa na enjoy..
Kumbe napunguza stress nime breeze kush..
Mana kuna time nahaso afu sioni cash..
Ndomana waweza niona usoni nacheka nakumbe tumboni desh..
Sikati tamaa kijinga.. Hata nikiwa fresh sina itikadi za kuringa.. Niko cool siyo player kama dirunga.. Time will tell sijutii hapa nilipo.. Ndomana yaliumbwa Maputo.. Hip hop kwangu ni wito.. Naifanya bila mchecheto.. Nasambaza ujuzi mpaka nchi za mbali.. Sijaanza ku be paid bado napambana na safari.. Info za kukata tamaa longtime nime mute.. I wanna do more than commando mpaka haters watapo salute.. Harakati kama nyerere.. nitakumbukwa Milele.. Tofauti sana na mcz wako wanaojigamba.. Mi ni mpole sana ila ukinchokoza nakuwa na sumu zaidi nyongo ya mamba.. Yeah siyo shabiki wa siasa Mimi.. Sihusiki na chuki za kidini mimi.. Niko huru dhidi ya uhasama.. Sina pande niliyo egemea kati kati nimesimama.. Then na look forward.. Nawish kufanya yangu.. I gotta heavy duty.. Kiasi sitaki u feel my pain hommie.. Usione nacheza kibindankoi.. Ukadhani life liko powa na enjoy.. Kumbe napunguza stress nime breeze kush.. Mana kuna time nahaso afu sioni cash.. Ndomana waweza niona usoni nacheka nakumbe tumboni desh..
Like
3
1 Comments ·680 Views