Hikikisu kilizama moyoni bila mimi
Kujua...
Kunadem alinipenda kumbe danga
Skujua...
Nilimpa kila nikipatacho kwajasho chini
Yajua...
Nilitengana nae japo moyoni
Alinisumbua...
Mwanzo wapenzi nilifulahia umuhimu wake
kwangu...
Nilimpa asilimia 100% kua mama watoto
Wangu...
Nilimuombea dua kila sku iendayo
Kwamungu...
Nilijiona Adam nayeye nikamuona
Hawa wangu...
Kujua...
Kunadem alinipenda kumbe danga
Skujua...
Nilimpa kila nikipatacho kwajasho chini
Yajua...
Nilitengana nae japo moyoni
Alinisumbua...
Mwanzo wapenzi nilifulahia umuhimu wake
kwangu...
Nilimpa asilimia 100% kua mama watoto
Wangu...
Nilimuombea dua kila sku iendayo
Kwamungu...
Nilijiona Adam nayeye nikamuona
Hawa wangu...
Hikikisu kilizama moyoni bila mimi
Kujua...
Kunadem alinipenda kumbe danga
Skujua...
Nilimpa kila nikipatacho kwajasho chini
Yajua...
Nilitengana nae japo moyoni
Alinisumbua...
Mwanzo wapenzi nilifulahia umuhimu wake
kwangu...
Nilimpa asilimia 100% kua mama watoto
Wangu...
Nilimuombea dua kila sku iendayo
Kwamungu...
Nilijiona Adam nayeye nikamuona
Hawa wangu...
