wageni wa sanaa wanazidi kubung'aa
nikilogIn wanahisi nawanyanyapaa..
hiza silaa za vina makinda wanazubaa..
wanarukia kila kitu ka malaya wa baa..
rhymes kinyaa ka bongofleva supastaa..
shangaa wewe bung'aa nakuja kishujaa..
lemaa hili ndio balaa kutoka kitaa..
kachaa niko levo za juu bado natambaa..
nikilogIn wanahisi nawanyanyapaa..
hiza silaa za vina makinda wanazubaa..
wanarukia kila kitu ka malaya wa baa..
rhymes kinyaa ka bongofleva supastaa..
shangaa wewe bung'aa nakuja kishujaa..
lemaa hili ndio balaa kutoka kitaa..
kachaa niko levo za juu bado natambaa..
wageni wa sanaa wanazidi kubung'aa
nikilogIn wanahisi nawanyanyapaa..
hiza silaa za vina makinda wanazubaa..
wanarukia kila kitu ka malaya wa baa..
rhymes kinyaa ka bongofleva supastaa..
shangaa wewe bung'aa nakuja kishujaa..
lemaa hili ndio balaa kutoka kitaa..
kachaa niko levo za juu bado natambaa..
·177 مشاهدة