Hapo hapo,ulipo mambo yanakuja kimkupuo,

kanisani mapambio,nguzo ishatafunwa,hak'na kimbilio,

binadamu shavuka miko,wao kwa wao nd'o kamchezo,

utapita kwa vigezo,sasa tafuta nyenzo,ujue lako kimbilio,

kama salio ni vilio,basi upo ufufuo,
Hapo hapo,ulipo mambo yanakuja kimkupuo, kanisani mapambio,nguzo ishatafunwa,hak'na kimbilio, binadamu shavuka miko,wao kwa wao nd'o kamchezo, utapita kwa vigezo,sasa tafuta nyenzo,ujue lako kimbilio, kama salio ni vilio,basi upo ufufuo,
Like
2
· 0 التعليقات ·0 المشاركات ·176 مشاهدة