nje wanikandia kumbe ndani wananizimia/
nikute kwenye kaunta nikupe moja Bavaria/
tupeane lines kadhaa huku tukimimina bia/
my dear ila punguza hasira usije ukalia/
nna kauli za kashfa na kejeli umenisikia/
verse inatosha muda wangu umeshawadia/
ntarudi tena pindi tu stimu zikinijia/