Upgrade to Pro


nazima majigambo ya maemcee wasio na uwezo,
hawajui kushika mic halafu wanataka ushindi wa dezo,
rapu kwangu ni fani na lyrics ndio nyenzo,
mazee nipo serious..nikibattle nawe usilete mchezo,
nikianza kuchinja namaliza sihitaji maelezo,
naswing na vina..kwenye game nimezama kwa kina,
namfesi yeyote siogopi jina..kwangu chelea pina,
emcee najifunga kibwebwe huku nanata na biti,
skillz zangu zinatendi to infiniti,
Sibattle na emceez wasio fiti..nalinda yangu diginiti,
nazima majigambo ya maemcee wasio na uwezo, hawajui kushika mic halafu wanataka ushindi wa dezo, rapu kwangu ni fani na lyrics ndio nyenzo, mazee nipo serious..nikibattle nawe usilete mchezo, nikianza kuchinja namaliza sihitaji maelezo, naswing na vina..kwenye game nimezama kwa kina, namfesi yeyote siogopi jina..kwangu chelea pina, emcee najifunga kibwebwe huku nanata na biti, skillz zangu zinatendi to infiniti, Sibattle na emceez wasio fiti..nalinda yangu diginiti,
Like
1
·350 Views