kama basi dereva kesha ruka abiria maisha kitendawili/
ben kesha kata kichwa umebaki kiwiliwili/
kama samaki sasa nimekugeuza upande wa pili/
unapenda kachumbari, lakini hupendi pilipili/
unapenda mambo ya kileo, ndio maana nakufanya kitoweo/